DOZI NI SAA 7:00 MCHANA (01)

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA (01)

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA (01) Kwa jina naitwa Oscar tarehe 1.5.2022 ni siku ambayo sitakuja kuisahau kwenye maisha yangu kwa kitendo nilichofanya kwa mke wangu aitwae Martha. Siku hiyo niliamka asubuhi na mapema kama ilivyo kawaida yangu na kujiandaa kwa ajiri ya kwenda kazini mke wangu kipenzi Martha aliniandalia maji ya kuoga kama ilivyo kawaida, nilienda kuoga na kujiandaa kwa ajili ya kuelekea kazini. "Mme wangu nakupenda sana ufike salama kazini kwako"Malikia wa moyo wangu alisema. "Nakupenda pia mke wangu mwaaaaaaaa " Nilimpiga kiss Martha na kumuacha nyumbani na mimi uyoooo nikaelekea zangu kazini. Nilipanda usafiri wa daladala kama

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...