DEMU MLA MADEMU (CHOMBEZO)

DEMU MLA MADEMU (CHOMBEZO)

DEMU MLA MADEMU       Kwl Story Killer Sufuria la ubwabwa lilibiduliwa kwenye sinia kubwa. Baada ya kubiduliwa, ukafuatia mchuzi wa nyama na vipande kadhaa vilivyo katwa kwa madirio sana. Ile mchuzi kuishia…  Mikono ikaonekana pande zote za sinia ikikishambulia kile chakula bila hata kukumbuka sala, ama kusubiriana.    Naam, kile chakula kilifanyiwa uvamizi na madada poa, walio ificha hiyo kazi yao halisi kwenye kivuli cha uhudumu baa. Baa iitwayo MBAKA ASUBUHI maalufu na ilijizolea jina kubwa ndani ya mtaa huo wa MOLONI. Ukubwa wa njaa yao ulijionesha kwa namna walivyo kuwa wanakipiga kile chakula. Maana ni fasta, kama abilia wanao taka

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...