AIBU YA KUCHELEWA KUOLEWA ILINIFANYA NIKAOLEWA NA JINI ???????? Sehemu ya Kwanza MPAKA ya Pili ( 1&2 )

AIBU YA KUCHELEWA KUOLEWA ILINIFANYA NIKAOLEWA NA JINI ???????? Sehemu ya Kwanza   MPAKA ya Pili  (  1&2  )

************* @Kila Mtu *SEHEMU YA KWANZA* Ikiwa ni siku ya juma mosi siku ambayo nilipaswa kuhudhulia harusi ya mdogo wa rafiki yangu, siku hii nilikuwa na huzuni sana. Kwanzia asubuhi hadi inafika saa nane sikuwa nimeshuka kitandani ,zaidi nilijilaza huku nikizama kwenye ulimwengu wa mawazo. Macho yangu yalivimba kwa kulia huku mafua na sauti za kwi kwi ya kilio ndio zikisikika chumbani humo, dakika zilisogea ikafika saa tisa kasoro mara simu yangu ikaita. Iliita kalibia mara tatu bila kupokelewa mwisho nikanyosha mkono na kuangalia anaepiga nikaona ni Rafiki yangu, kinyonge nilipokea na kuongea. "Hello " "Elena uko wapi wewe mbona

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...