KEKI RAHISI YA VANILLA NA COCOA(SIMPLE VANILLA AND COCOA CAKE)

Xxx.com Mapishi Classic Is a Tanzanian Blog which prepare different food recipes found all over the world.Here you get the chance of reading Swahili and Non Swahili recipes found across the world.The recipes are written by two languages i.e Swahili and English.Welcome all to read and leave your comment about our recipes. Karibuni Nyote mjifunze mapishi ya Kiswahili na mengineo yanayopatikana dunia nzima.Karibuni mjifunze na tunakaribisha maswali na maoni tutakujibu haraka iwezekanavyo. Ahsanteni Sana. (Hamishia kwenye ...) ▼ (Hamishia kwenye ...) ▼ Jumamosi, 3 Desemba 2016 KEKI RAHISI YA VANILLA NA COCOA(SIMPLE VANILLA AND COCOA CAKE) MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Siagi Robo kilo(1/4 Kg) 1/4Kg Butter 2.Sukari Robo kilo(1/4 Kg) 1/4 Kg Sugar 3.Unga Robo kilo(1/4 Kg) 1/4 Kg Plain Purpose Flour 4.Mayai 6 6 Eggs 5.Arki Vanilla Kijiko cha chai 1 1 Tea Spoon Vanilla Essence 6.Cocoa Vijiko vya Chakula 3 3 Tbsp Cocoa Powder 7.Baking Powder Kijiko Cha Chakula 1 1 Tbsp Baking Powder 8.Chungwa 1 1 Orange 7.Maganda ya Chungwa Kijiko Cha Chakula 1 1 Tbsp Orange Zest 8.Chumvi Kiduchu Pinch of Salt 9.Fruit Cake Kikombe Cha Chai Nusu(Sio Lazima) 1/2 Cup Fruit Cake(Optional) 10.Juisi ya Chungwa Vijiko 3 3 Tbsp Lemon Juice MAANDALIZI/PREPARATIONS 1.Chekecha unga kwenye bakuli kisha weka chumvi na baking powder na uchanganye vizuri kwa mwiko In a bowl sift the flour then add baking powder and salt,mix them very well by using spartula 2.Osha chungwa vizuri kasha lipare kwa kipario ili upate maganda yake kijiko kimoja Wash an orange then grate it till you get one spoon of its zest 3.Weka maganda ya chungwa na Fruit Cake kwenye ungana uchanganye tena vizuri Add the orange zest and Fruit Cake in a bowl of flour and mix them very well 4.Weka sukari na siagi kwenye bakuli jengine In a separate bowl add sugar and butter 5.Saga mchanganyiko wako kiasi cha dakika 3 Beat the mixture for atleast 3 minutes 6.Weka Vanilla endelea kusaga kiasi cha dakika 2 Then add vanilla and keep beating the mixture for 2 minutes 7.Weka mayai yako moja moja mpaka yamalize huku ukiendelea kusaga Add the eggs one by one until you complete them alland keep beating the mixture 8.Weka juice ya chungwa kisha saga tena kidogo Add lemon juice and keep beating the mixture 9.Malizia kuweka unga kidogo kidogo mpaka umalize wotehuku ukisaga Lastly add flour little by little till it finish and beat your mixture 10.Chukua bakuli chota mchanganyiko wako weka miko 3 In a small bowl add your butter mixture atleast 3 spatula of it 11.Kisha weka cocoa kwenye kibakuli uloweka mchanganyiko wako changanya vizuri kwa kijiko kikubwa Add cocoa in that mixture and mix it well by using table spoon 12.Washa Jiko la Umeme moto wa nyuzi joto 160 Pre heat the oven 160’C 13.Chukua trei weka karatasi ya kupikia In a tray add baking paper 14.Kisha Anza kuweka mchanganyiko mweupe na kati weka wa cocoa kasha malizia mweupe Start to add white butter mixture and the cocoa mixture at the middle and the white mixture on top JINSI YA KUPIKA/HOW TO COOK 1.Weka trei jikoni kwa muda wa dakika 50 ndio fungua jiko na tizama keki yako Bake the cake for 50 minutes then open the oven to check it 2.Ingiza kijiti kisafi kwenye sehemu mbali mbali za keki yako kuangalia kama imeiva Insert the tooth pick in the cake to check if it is cooked well and done 3.Ikiwa kijiti kitatoka na umaji maji basi keki yako bado rudisha jikoni If the tooth pick seems to be wet the cake its not yet cooked return it in the oven 4.Kijiti kikitoka kikavu zima jiko toa keki wacha ipoe If the spoon comes dry switch off the oven and remove the cake let it cool 5.Ikipoa toa kwenye trei na ikate vipande tayari kuliwa na kinywaji upendacho When it is cool cut it into pieces and serve with any drink you prefer Angalizo:Note; 1.Hakikisha unafata vipimo sahihi vya unga,siagi,sukari,baking powder na mayai ili upate keki nzuri Make sure you use appropriate measurement of butter,sugar,plain purpose flour,baking powder and eggs for best result of the cake 2.Ukikosea vipimo vya keki hupelekea kutoiva au kuwa ngumu When the cake ingeredients are misused may not give you soft cake or it may not cooked evenly 3.Kuwa makini na jiko lako kama lina moto mkali tumia nyuzi joto ambazo hazitounguza keki yako You know well your Oven so make sure you set appropriate Degrees that may not burn the cake 4.Tumia Chombo ambacho mchanganyiko wa keki hautojaa mpaka juu ili ipate nafasi ya kuiva vizuri kwani ikipata joto hufura na huweza kupelekea mchanganyiko ukamwagika kabla ya kuiva Use the tray that has enough space that may not lead the cake mixture to rise and comes out when it is heated 5.Unaweza kupika kwa kutumia mkaa pia You can even bake by using charcoal 6.Hakikisha hukati keki yako mpaka ipoe inaweza kupelekea kukatika katika Make sure you do not cut your cake if it is not cool enough 7.Keki inaweza kukaa mpaka siku 3 mpaka 4 kwenye mazingira ya joto na siku 6 mpaka 7 kwenye mazingira ya baridi bila kuharibika The cake can stay up to 3 to 4 days in hot areas and 6 to 7 days in cold areas Furahia Keki Yako. maoni

Comments

Popular posts from this blog

Mum, 26, who flew 8,000 miles for FOUR Turkey surgeries in one day says ‘excrutiating pain was worse than childbirth