KEKI RAHISI YA VANILLA NA COCOA(SIMPLE VANILLA AND COCOA CAKE)
Xxx.com Mapishi Classic Is a Tanzanian Blog which prepare different food recipes found all over the world.Here you get the chance of reading Swahili and Non Swahili recipes found across the world.The recipes are written by two languages i.e Swahili and English.Welcome all to read and leave your comment about our recipes. Karibuni Nyote mjifunze mapishi ya Kiswahili na mengineo yanayopatikana dunia nzima.Karibuni mjifunze na tunakaribisha maswali na maoni tutakujibu haraka iwezekanavyo. Ahsanteni Sana. (Hamishia kwenye ...) ▼ (Hamishia kwenye ...) ▼ Jumamosi, 3 Desemba 2016 KEKI RAHISI YA VANILLA NA COCOA(SIMPLE VANILLA AND COCOA CAKE) MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Siagi Robo kilo(1/4 Kg) 1/4Kg Butter 2.Sukari Robo kilo(1/4 Kg) 1/4 Kg Sugar 3.Unga Robo kilo(1/4 Kg) 1/4 Kg Plain Purpose Flour 4.Mayai 6 6 Eggs 5.Arki Vanilla Kijiko cha chai 1 1 Tea Spoon Vanilla Essence 6.Cocoa Vijiko vya Chakula 3 3 Tbsp Cocoa Powder 7.Baking Powder Kijiko Cha Chakula 1 1 Tbsp Baking Powde...